Shindano la Vodacom Miss Tanzania limemalizika kwa Salha Israel kuibuka mshindi na kutwaa taji hilo kwa mwaka 2011.Washindi wengine ni Tracy Sospeter kutoka Shinyanga aliyeshika nafasi ya pili na Alexia William kutoka Kinondoni aliyepata nafasi ya tatu.
|
Miss Tanzania 2011 Salha Israel (katikati) akiwa na washindi wengine Tracy Sospeter (kulia) na Alexia William (kushoto) |
Kufuatia ushindi huo Salha ataiwakilisha Tanzania katika shindano la urembo duniani ( Miss World 2011).
All THE BEST n TAKE CARE COZ EVERY EYES ARE ON YOU.
|
Salha Israel Miss Tanzania 2011 akivishwa taji lake |
No comments:
Post a Comment