Chupuchupu kucharagwa panga kwa kuchomekea!!






 Dereva  wa daladala  ambae  jina lake  halikuweza  kupatikana, amemkoromea mwenzake kwa kosa la kumchomekea, (overtake) kitu ambacho kilitaka kumsababishia ajali kwa katika  eneo la Mshindo mjini Iringa.

Picha na stori kwa hisani ya Mjengwa blog