Baada ya kung'ang'ania madaraka kwa muda mrefu,rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amekamatwa na jeshi la nchi hiyo kwa ushirikiano wa jeshi la umoja wa mataifa Ufaransa.Wakilishi wa Ivory Coast katika Umoja wa Mataifa amesema Gbagbo atafikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Rais Gbagbo akitolewa nje ya hoteli alipokuwa amejificha
Mwanajeshi akishangilia ushindi wa kumkamata Gbagbo
Mke wa Gbagbo,Bi Simone nae awekwa chini ya ulinzi