Kiukweli hii picha imenikumbusha mengi..kipindi niko primary yaani timekeeper nae alikua na power kama kiongozi(kiranja) mwingine hivyo watu walikua wanaipigania hii nafasi.
Halikadhalika nikiwa secondary...yaani tulikua darasa moja na timekeeper sio siri tulikua tunamshawishi agonge kengele kabla ya muda wa break ili wadau tukapige uji..!!Sipati picha na vyuoni kungekuwa na timekeeper?!!