THE BEAUTY OF TANZANIA

                                            Dah, sijui huyu fisi atawaweza hawa nyati?!
                                          Cheki,bonde la mlima usambara....Pazuri eeh??
                                         Sasa hawa ngo'mbe wamefuata nini beach?
                  Tanzania, OUR MAMA LAND imebarikiwa kwa vivutio vingi, lakini cha ajabu watanzania wengi hatuna mazoea ya kutembelea sehemu hizi....

UDSM hali si shwari..

    Wanafunzi wa chuo kikuu Dar es Salaam wakiwa katika maandamano.
       Wote ni wanafunzi wa UDSM wakiwa katika maandamano ya amani kuelekea IKULU ili kuishinikiza serikali kuongeza fedha ya matumizi " BOOM" kutoka 5000 inayotolewa sasa hadi 10000.