Ukiwa kama mdau wa unahimizwa kuuwezesha mlima Kilimanjaro kushinda na kuwa moja ya maajabu ya dunia. Hii ni kupitia shindano la new 7 world wonders linaloendeshwa hivi sasa. Mlima Kilimanjaro una mita 5895 kutoka usawa wa bahari (5895 from the sea level) una vigezo vyote vya kuingia katika new world wonders, kwanza kabisa ni mlima mrefu kuliko yote barani Africa, pia una vilele viwili ambavyo ni Kibo na Mawenzi zaidi ni kwamba, inastaajabisha kwa mlima kama huu (Volcanic mountain) kuweko katika ukanda wenye hali ya hewa ya Kitropiki.
Kuupigia kura ni rahisi tembelea www.new7wonders.com au bofya hapahttp://www.new7wonders.com/vote-2?lang=en
Lets unite & enable mount Kilimanjaro to be the new world wonder.
1 comment:
PAMOJA
Post a Comment