Hapa kwetu Tanzania tumezoea kusikia mtu akiwa chuo basi anasoma sheria, udaktari, engineering, uhasibu, Human Resources( HR) au Ualimu lakini hii tofauti kwa wenzetu kwani hutumia gharama kubwa kusomea fani nyngine mfano mapishi..
I thought making ice-cream was pretty easy, but it seems that if you really want to get it right you have to take courses at the Gelato University, in Bologna, Italy.
Lango la kuingilia chuoni hapo. |
Hapa ni baada ya Presentation yao. |
Believe it or not, the Carpigiani Gelato University has been around for a long time, and as more people around the globe fall in love with the Italian gelato, it gets more students with each passing year. In 2011, the number of students has gone from 9,000 to 12,000 and for the first time in history, the number of foreign tourists has surpassed that of Italians.
Washikaji wakiwa katika lecture | fromhttp://odditycentral.com |
No comments:
Post a Comment