MPAKA KIELEWEKE!!
"
Kitafahamika tu!!" Hayo ni maneno ya Binti wa Kijerumani Regina Mayer, ambaye kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kuendesha farasi lakini haukweza kufanikiwa kwa wazazi wake hawakumwezesha kutimiza ndoto zake. Basi ndipo binti huyo wa miaka 15 alipoamua kumfundisha ng'ombe wake aitwae LUNA kuruka viunzi kama farasi.
No comments:
Post a Comment