WALIOTOKELEZEA SJMC PUBLIC LECTURE


Mzee Charles Irigo akiendesha mhadhara

Associate Dean SJMC Dr Andililile

Wadau walikuwepo

Dr Ayoub Chacha Rioba akifuatijia mahadhara kwa makini

Mzee Samwilu Mwafisi akiendesha majadiliano

Saed Kubenea, kwa nyuma ni mama Eda Sanga

Mwl Dominic Makukula akichangia mada.

Wadau wakifuatilia mhadhara
Tajiri Malela

Aggie a.k.a Mama Alvin akifuatilia mhadhara

Maywili katika pozi

OGO busy na simu

I really like this Photo


Prof Thompson kutoka US alikuepo

Yasin a.k.a Kipacha shughuli kama hizi hukosekani

Cholo Boy akifuatilia mhadhara
Picha imetokaje?!

Kama sio SJMC vile

Kaka Khatibu nae alikuwepo kwa nyuma yake ni Peter Farayo

Hilali Ruhundwa kifanya mahojiano na Dr Rioba
Man at Work
Said Kubenea akisalimia na Dr Makoye Dean of SJMC

Dr Ayoub Rioba(kushoto), Deon of SJMC, Dr Herbert Makoye (katikati) na Said Kubenea(kulia) wakisalimiana baada ya PUBLIC LECTURE

1 comment:

Anonymous said...

looooo!!! huyo associte dean simuelewi mapigo yake....