Jamaaa mmoja ambaye hakufahamika jina lake,alifumwa akifuta viatu vyake kwa kutumia ulimi wake wakati akisubiri usafiri wa treni huko jijini New York.
|
Hizi ni picha za mshikaji akiwa katika harakati za kusafisha kiatu chake. |
Check hii video yake uone vituko zaidi.