WAZEE WA KAZI..

Nani anaebisha kwamba hawa jamaa,wameitingisha nchi yetu kisiasa??Mkumbuke Mzee Lyatonga enzi zake miaka ya 90 na Dr Slaa kipindi hiki na kizazi cha dotcom.

1 comment:

Anonymous said...

daaaah boni huyu mzee slaa ni mtu hatari sana yaaaaani hana uwezo wa kuja kuipindua hii nchi iliyojisahau...........sijamsau mzee lyatonga huyo ni mtu hatari sana aliwatingisha sana ccm enzi hizo