WAZEE WA KAZI..
Nani anaebisha kwamba hawa jamaa,wameitingisha nchi yetu kisiasa??Mkumbuke Mzee Lyatonga enzi zake miaka ya 90 na Dr Slaa kipindi hiki na kizazi cha dotcom.
LIBYA PIA HAPATOSHI!!!
Lile vuguvugu la kisiasa limeendelea kuzikumba nchi za Afika ya Kaskazini,kwani leo katika mji wa Benghazi nchini Libya, kumetokea maandamano ya maelfu ya watu wanaopinga utawala wa Rais Gaddafi.
VODACOM WASAIDIA GONGO LA MBOTO.
Kampuni ya simu ya VODACOM Tanzania,imetoa msaada kwa wahanga wa mlipuko wa mabomu uliotokea juzi katika eneo la Gongo la Mboto.
Baadhi ya wafanyakazi wa VODACOM wakishusha msaada wa vyakula
Bibi Mwamvita Makamba,meneja wa Vodacom Foundation haakuwa nyuma katika kushusha misaada.
Baadhi ya wafanyakazi wa VODACOM wakishusha msaada wa vyakula
Bibi Mwamvita Makamba,meneja wa Vodacom Foundation haakuwa nyuma katika kushusha misaada.
Mabosi wa Vodacom wakizindua kampeni maalum ya kutoa msaada kwa njia ya simu.
THE BEAUTY OF TANZANIA
Dah, sijui huyu fisi atawaweza hawa nyati?!
Cheki,bonde la mlima usambara....Pazuri eeh??
Sasa hawa ngo'mbe wamefuata nini beach?
Cheki,bonde la mlima usambara....Pazuri eeh??
Sasa hawa ngo'mbe wamefuata nini beach?
Tanzania, OUR MAMA LAND imebarikiwa kwa vivutio vingi, lakini cha ajabu watanzania wengi hatuna mazoea ya kutembelea sehemu hizi....
UDSM hali si shwari..
Wanafunzi wa chuo kikuu Dar es Salaam wakiwa katika maandamano.
Wote ni wanafunzi wa UDSM wakiwa katika maandamano ya amani kuelekea IKULU ili kuishinikiza serikali kuongeza fedha ya matumizi " BOOM" kutoka 5000 inayotolewa sasa hadi 10000.
Wote ni wanafunzi wa UDSM wakiwa katika maandamano ya amani kuelekea IKULU ili kuishinikiza serikali kuongeza fedha ya matumizi " BOOM" kutoka 5000 inayotolewa sasa hadi 10000.
Wats up people lets enjoy together
Wats up people,this is a new blog and a very first step of bringing what YOU like, so I beg your support and assistant so as to make it happen
ONE LAV
ONE LAV
Subscribe to:
Posts (Atom)