Uongozi
wa serikali ya wanafunzi katika Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma
ikishirikiana na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imefanya mhadhara wenye lengo la kujadili na kuwanoa waandishi wa habari chipukizi (nurturing upcoming professionals) ulikua na lengoi suala la maadili katika
taaluma ya uandishi wa habari. Katika
uaslishaji wa mada yake Bwana Chrisosto Rweyemamu alisisitiza kuwa kwa
waandishi wa habari chipukizi wana wajibu
wa kusoma na kuuelewa Azimio la Dar es Salaam Juu ya Uhuru wa Uhariri na Uwajibikaji kwani ndio dira na nguzo ya tansia ya habari nchini.
Kwa
upande wake mwanahabari mwandamizi,Madam Rose amesema ukiukwaji wa maadili ya
taaluma ya uandishi wa habari huchangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu mikataba
ya ajira miongoni mwa mwaandishi wa habari. Hivyo kuwafanya waandishi wengi
kudanganyika kwa ‘brown envelope’
maarufu kama “mshiko” kwa kuwa hawana
job
security.
Katika
kuhitimsha mhadhara huo Dean wa shule kuu ya habari ya mawasiliano kwa umma Dr
Herbert Makoye amepongeza jitihada zilizonyeshwa na DARUSO SJMC kwa kuandaa mihandara
yenye lengo la kupanua fikra za wanafunzi .
Ngwegwe Mussa mwenyekiti wa DARUSO SJMC |
Dr Hebert Makoye akimkaribisha mgeni rasmi |
Madam Rose akiwasilisha mada yake. |
Prof Tompson alitoa pia uzoefu wake kutoka nchini Marekani |
Umati uliohudhuria mhadhara huo |
Mzee Mrutu |
1 comment:
Real I appriciate the event and much more the blogger who has given us a reason to view it as very interesting and constructive one
Post a Comment