-- Ofisi
ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeongeza mbele tarehe za kumaliza kazi
ya Sensa ya Watu na Makazi hadi Jumamosi ya tarehe 8 Septemba mwaka
huu ili kuhakikisha kuwa kila mwananchi aliyebaki anahesabiwa. Hivyo wito
umetolewa kwa mwananchi hawajafikiwa na Makarani wa Sensa watoe
taarifa katika Ofisi za Serikali za Mitaa au Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa
ajili ya kuhesabiwa. Kamishna wa Sensa kutoka NBS Hajjat Amina Mrisho
ametoa wito kwa wale ambao
hawajaandikishwa hadi hivi sasa kuwa wanatakiwa watume taarifa kwa namba 2122724,
0754583415, 2129622 , 0713335429, 0713574622 na 0713312699
No comments:
Post a Comment