Katika pitapita zangu kwenye mtandao nikakutana na hizi picha..honestly zimenigusa but sijui ni kwanini labda ni kwa sababu ni watu niliona nao karibu au kwa kuwa wapo na Diamond..sijui ni kwaini... nahisi ni mazingira ya SJMC -Mlimani TV ndo yamenishawishi zaidi.. but nnachoweza kusema.... kazi nzuri....keep on moving.
Herieth-host wa The Hill Youth tv Magazine akiwa na Diamond |
Mitambo ikiwekwa sawa |
Busy kwa kazi |
Kazi imekamilika |
Teacher Issa full tabasamu..naona dress code ilikua ni black n white |
Noticeboard ileeeee!! |