Itazame hii halafu unipe maelezo!!

Hebu iangalie na wewe hii picha kwa sababu nimeshindwa kuitolea maelezo..(caption)!!Pia sifahamu kilichokuwa kinawaliza hawa  watoto..jaribu ku-share na sisi kilichopo kichwani mwako.

1 comment:

Anonymous said...

hapo inaonekana hao watoto ni wanaishi katika mazingira ya ukosefu wa malezi na sababu ya kulia ni kutokana na hali ngumu ya maisha.