|
Huyu
alishikiliwa mapema mara baada ya mabomu kuanza kupigwa, huku akionja joto ya
jiwe ya askari hao ambao walionekana kuwa na uchu wakupiga. |
|
Picha hii inakuonesha kwa karibu namna rungu lilivyompasua
Askari huyu, hapa utapata fikiria kama huyu askari aliyepigwa kidogo tu baadaye
akaachiwa ameumia hivi, Je! Wale waliopata mkong'oto wapo kwenye hali gani?
|
|
Baada ya kupata nafuu anakuja kumalizia hasira zake kwa
wanafunzi kwa kumkamata mmoja na kumpa kipigo cha nguvu hadi askari wenzake
walivyopiga kelele ndipo alimwachilia mwanafunzi huyo
|
|
Kundi la wanafunzi walishikwa kama kuku wa mdondo baada ya
kupigwa mabomu ya machozi na kujikuta wakijificha sehemu moja kundi zima hali
iliyosabisha kutembezwa kichurachura hadi kwenye kituo cha Polisi cha
Kigamboni.
|
|
Mwanafunzi
huyu alilala kabisa na kupoteza fahamu baada ya kuzidiwa na moshi wa mabomu ya
machozi yaliyopigwa kwenye eneo la kituo hicho cha Polisi |
|
Hakuishia hapo aliwafuata pale walipoamrishwa kukaa akawa
anamchomoa anaemtaka na kumpa kipigo vile alivyojiskia ili amalizie hasira
zake.
|
|
Askari huyo aliendelea kutoa dozi |
ANGALIA PICHA HIZI TATU KWA MAKINI
|
Alianza kwa kupandishwa kwenye gari |
|
Ghafla alidondoka kwenye gari la polisi baada ya gari
hilo kujaza wanafunzi wengi |
|
Gar liliondoka yeye akaachwa chini |
Sijui kama dada huyo alisalimika kweli?
picha kwa hisani
wavuti.com
1 comment:
Good job bro! keep it up and dedicated to it! you will get far!!
Post a Comment