DARUSO SJMC & MCT PANEL DISCUSSION, YAFANA
Kwa
upande wake mwanahabari mwandamizi,Madam Rose amesema ukiukwaji wa maadili ya
taaluma ya uandishi wa habari huchangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu mikataba
ya ajira miongoni mwa mwaandishi wa habari. Hivyo kuwafanya waandishi wengi
kudanganyika kwa ‘brown envelope’
maarufu kama “mshiko” kwa kuwa hawana
job
security.
Katika
kuhitimsha mhadhara huo Dean wa shule kuu ya habari ya mawasiliano kwa umma Dr
Herbert Makoye amepongeza jitihada zilizonyeshwa na DARUSO SJMC kwa kuandaa mihandara
yenye lengo la kupanua fikra za wanafunzi .
| Ngwegwe Mussa mwenyekiti wa DARUSO SJMC |
| Dr Hebert Makoye akimkaribisha mgeni rasmi |
| Madam Rose akiwasilisha mada yake. |
| Prof Tompson alitoa pia uzoefu wake kutoka nchini Marekani |
| Umati uliohudhuria mhadhara huo |
| Mzee Mrutu |
The Hill Youth TV Magazine..#guys,keep on moving.
Katika pitapita zangu kwenye mtandao nikakutana na hizi picha..honestly zimenigusa but sijui ni kwanini labda ni kwa sababu ni watu niliona nao karibu au kwa kuwa wapo na Diamond..sijui ni kwaini... nahisi ni mazingira ya SJMC -Mlimani TV ndo yamenishawishi zaidi.. but nnachoweza kusema.... kazi nzuri....keep on moving.
| Herieth-host wa The Hill Youth tv Magazine akiwa na Diamond |
| Mitambo ikiwekwa sawa |
| Busy kwa kazi |
| Kazi imekamilika |
| Teacher Issa full tabasamu..naona dress code ilikua ni black n white |
| Noticeboard ileeeee!! |
A guy fakes his death to make her Girlfriend see how Life would be Empty without Him
In
what may very well be the worst wedding proposal in history, a Russian
man hired a whole film crew to stage a deadly car crash and see if the woman he
wanted to marry really loved him to death.
Most people already know, or at least think they know the person they want to marry truly loves them, before they pop the big question, but 30-year-old Alexey Bykov, from Omsk, Russia, wanted to make absolutely sure. Instead of taking the easy route, like making his girlfriend Irina take a lie detector test, he decided to fake his own gruesome death to see what her reaction would be. So the young Russian hired a movie director, stuntmen, make-up artists, and even a script writer to stage a car crash in which he lost his life. They made sure everything looked as realistic as possible, by using crashed cars, smoke, ambulances and carnage, so the poor girl didn’t for a minute think she was the victim of a very creepy prank.

Once all the details of his plan were
discussed with the film crew, Alexey arranged to meet Irina in a certain place,
only when she arrived she found mangled cars and her beloved’s body lying on
the road all covered in blood. A paramedic told her he was dead and she
immediately broke into tears. Once the “romantic” prankster got the reaction he
was waiting for, he got up from the pavement and proposed. You can imagine
Irina’s reaction, can’t you? Well, although she admits at first she “almost
killed him again, but for real this time”, in the end she accepted to be this
crazy man’s wife for the rest of her life.
Asked why he planned such a macabre
wedding proposal, Alexey Bykov said: ”I wanted her to realise how
empty her life would be without me and how life would have no meaning without
me.” Very romantic stuff, I must say. He did promise this was the last time he
pulled such a stunt.
courtesy of odditycentral
courtesy of odditycentral
Picha hii ya Dr Slaa na mtoto wa marehemu Daud Mwangosi yawaliza wengi..
Mtoto wa marehemu Daud Mwangosi akimkumbatia Katibu mkuu wa CHADEMA Dk Willbroad Slaa jana jioni wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa marehemu..Marehemu Mwangosi ameacha mke na watoto wannne.
Kila anaeiona picha hii anaguswa kwa namna yake..na hizi ni baadhi ya comments zilizotolewa na wasomaji wa blog ya mjengwa.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema na aipe nguvu familia yake katika wakati huu mgumu

Subscribe to:
Posts (Atom)