![]() | |
| Jamaa kakomaa na surakitabu (pic wavuti.com) |
HII INA KUHUSU MTUMIAJI WA INTERNET!!
Katika dunia ya sasa suala mifumo ya upokeaji wa taarifa na mawasiliano (information and communication technology-ICT) kwa sasa limekua sana, sio tu kwa nchi zilizoendelea hata kwa nchi zinazoendelea mfano mzuri ni hapa nyumbani Tanzania,tumeona kwa kiasi chake maendeleo ya mifumo ya digitali na satelaiti( digital & satelite),na intanet vikiongezeka kwa kasi.Chakusikitisha ni kwamba badala ya maendeleo haya kutusaidia kusonga mbele,sasa yamegeuka kikwazo cha sisi kufikia maendeleo yanayohitajika kwa mfano uwepo wa intaneti sio tu kwa kutuvunjia maadili bali hata kwa kutupotezea muda mwingi wa kufanya shughuli nyingi za kimaendeleo.Kwani hivi sasa watu hutumia muda mwingi ku-chat kwenye facebook au twitter.Kibaya zaidi kinachozungumzwa humo ndani ni upuuzi usiojenga.
Kwa wenzetu vitu vinawasaidia sana sio tu katika mawasiliano bali hata kutangaza biashara zao,katika elimu (online education) na zaidi hata kutoa nafasi za ajira.Tofauti kabisa na hapa kwetu,bado tuna ile kasumba ya kizamani ya kuhisi kuwa facebook ipo kwa ajili ku-upload picha tu.Unaweza kukuta mtu amekesha internet lakini anachokifanya hakina manufaa.Imefika wakati tubadilishe mitazamo yetu,tutumie vyombo hivi kwa namna itakayotuletea manufaa.
THIS IS TOO MUCH!!
Tafiti nyingi zilizokwishafanyika zinaonyesha kuwa kwa kiasi kikubwa nyani na wanyama wengine jamii ya sokwe wanafanana na binadamu sio tu kwa sura(muonekano),mfumo wa uzazi halikadhalika matendo yao kwani mambo yote anayofanya binadamu nao nyani wanauwezo wa kufanya vizuri.
![]() |
| Hapa ameshika bunduki aina ya AK 47! (www.wavuti.com) |
![]() |
| Hapa sijui anafikiria familia yake??!! |
Wataalam wanasema tofauti iliyopo kwamba binadamu ana uwezo mkubwa(IQ) wa kutambua mambo kuliko nyani.Pia tendo aliloweza nyani ni kuzungumza(produce sound speech).
VITA HII UDSM MPAKA LINI??
Hali ya ulinzi na usalama katika mazingira ya chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imezidi kuwa mbaya kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya wizi na ukabaji.Mara hii imefikia pabaya zaidi kwani wezi wamekuwa wakitumia silaha kama mapanga na visu kufanyia uhalifu huo na tumekuwa tukishuhudia wenzetu wakijeruhiwa vibaya na kuporwa mali zao kama laptop,fedha au simu.Cha kusikitisha uhalifu huo umefikia kwenye hatua ya ubakaji kwani tumesikia dada yetu mmoja amepatwa na mkasa huo hivi karibuni.Tunawapa pole wote waliopatwa na maswahibu hayo.Tujiulize hawa wanausalama wetu (auxiliary police) wako wapi wakati haya yanatokea?Vipi management ya chuo inafahamu haya?wamejipanga vipi kutuhakikishia usalama wetu?
![]() |
| Huu ndio ulikuwa mwanzo wa safari ya kifo cha kijana huyo ambae hakujulikana jina. |
Kwali hali hii,hatua za makusudi inabidi zichukuliwe haraka,kwani cha kutisha wamekuwa wanaingia kwenye hostel (hall of residence) bila woga.Ni hivi karibuni tu Hall 5 na Hall 2 wamekamata na kuwapa kipigo wezi hao kisha kuchukuliwa na Auxiliary Police,lakini hatujui hatma yao.Labda hatua za kisheria zinaendelea?!!Kama ndivyo,basi inabidi zifanyike haraka na umma kupewa taarifa kwani maafa yaliomkuta mwizi wa juzi yametokea kutokana na kuona sheria hazitekelezwi hivyo wanafunzi wakaamua kuchukua sheria mkononi.Lakini tujiulize kumuua mwizi ni suluhisho la tatizo hili?
![]() |
Tutafakari kwanini yule binti wa Kizungu alipiga kelele “stop it,stop it, it’s against human rights” nahisi hakuwahi kuona katika maisha yake unyama kama ule, pia hakuwahi kudhani mwanadamu wenye akili timamu anaweza kufanya vile.Japo tulimdhihaki kwa kumwambia “eti Human rights unazijua leo,wakati mnawatesa babu zetu enzi za slave trade hamkuziona??”tukamtimua eneo la tukio!!hapo ndipo tulipodhihirisha udogo wetu wa kufikiri na kwamba elimu tunayoipata haijatukomboa.Inabidi tukubali kwamba its completely against humanity. Yatupasa kutubu kwa Mungu na dhambi ile isitutafune.
![]() |
| Binti wa kizungu aliyejaribu kutetea uhai wa kijana yule. |
Tujiulize tumefanya vile kwanini?ni kulipiza kisasi au ni kwa kujipoza kwa maswahibu yalowakuta wenzetu au ni kutoa funzo kwa wezi wengine??Hofu yangu ni kwamba wezi hawa wakiamua kuungana na kulipiza kisasi kwa mauaji yaliompata mwenzao na uhakika tutakuwa katika hali ya hatari zaidi!!Wao wana uwezo zaidi,wakiamua kutuwinda kwa mishale au kuja kutuchomea moto tukiwa hosteli??! MUNGU AEPUSHE MBALI BALAA HIZI!! Kweli usalama wetu ni mdogo na hatari ipo kwetu zaidi. Vita hiyo hatutoiweza.Tunahitaji sheria madhubuti ambazo zitatoa adhabu kali na kuwa fundisho kwa wahalifu,kwani imeonekana kuwa ongezeko la kuchukua sheria mkononi ni kutokana wananchi kuchukizwa na hali ya wahalifu kuachiliwa huru bila kupewa adhabu yoyote.Na imani kwa sala ya mwisho aliyoombewa na dada yetu kabla ya kukata roho, marehemu mwizi atapumzika kwa amani.
![]() |
| Akiwa tayari amekata roho!! |
Junrey Balawing avunja rekodi ya kuwa mfupi zaidi duniani!
Junrey Balawing raia wa Ufilipino ametangazwa rasmi kuwa mtu mfupi kuliko wote dunia kwa kuvunja rekodi iliyokuwa ikishikliwa na Khagendra Thapa Magar kutoka Nepal.Junrey ambaye ametimiza miaka 18 hivi karibuni tarehe 11 june ana urefu wa inchi 23.6 sawa na sentimeta 59.93 huku akiwa na uzito wa kilogramu 5,tofauti na Thapa Magar ambaye ana urefu wa 26.4 sentimeta.Kinachofurahisha zaidi ni kwamba amezaliwa tarehe ya uhuru wa nchi yake hivyo inaongeza furaha zaidi kijijini kwao
Pata ukweli zaidi kutoka kwa wazazi:
At birth, Junrey was the size of a 1-litre coke bottle. His mother only started to suspect something was not right when Junrey was four years old as his friends began to outgrow him. The family sought advice and he was given medication to strengthen his bones, but these made no difference.
According to his parents, before Junrey was born, his family was poor and down on their luck. But after his birth, they saw a reversal of fortune, with Junrey’s father Reynaldo, 37, getting a job that enabled him to look after his family. "Junrey is our lucky charm," Reynaldo says.
Junrey loves watching TV with war films being his favourite viewing also his favourite food is pork but he can eat about two (normal size) fingers' worth at a meal, with a small helping of rice.His name is a combination of June, for his birthday, and his father's name, Reynaldo. It also means "Little King", as in junior and Rey, which is Spanish for king.
Junrey has to stay at home with his mum Concepcion, while his sisters Jaycel (13), Jeanritch (6) and 11-year-old brother Jay-art go to school. Concepcion (35) says: "He needs my care every minute of every day. Junrey can only walk with some help and he can't stand for too long because he's in too much pain.
Kutoka na rekodi hii Junrey ameingizwa katika Guinness World Record Book.
source;www.guinnessworldrecords.com
MA of Mass Communication launched during SJMC week.
In celebrating its 50th anniversary of University of Dar es Salaam through its different colleges has been conducting events which aim to expose its different activities also to show the success which have achieved for the whole half century. From Monday 20th of June has been a turn for School of Journalism and Mass communication. The occasion was held at SJMC ground and was honored by the Vice councilor, Prof Rwekaza Mukandala involved the launching of the masters of mass communication programme, which will be offered by University of Dar es Salaam under School of Journalism and Mass Communication.
| Prof Mukandala launching MA of Mass Communication at SJMC week |
While presenting the opening speech, Dr Bernadette Killian the Dean of SJMC was able mention problems like accommodation to the students, little number of staff compares to the students’ population also few of resources in Mlimani media.At the same time Prof Mukandala got an opportunity to look over the activities which are done by Mlimani media.
However the occasion was attended by the former Dean of Tanzania School of Journalism(TSJ) & Institute of Journalism and Mass Communication (IJMC) ,former students,media people and other invited guest.At the end the event was followed by Sports Bonanza which includes table tennis, chicken race, dancing and rope pulling.
| A group photo of Prof Mukandala with other invited guest . Photos by:Hilal Rihundwa |
HEKAHEKA ZA UCHAGUZI DARUSO UDSM!!
Awamu nyingine ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO UDSM) imeanza kwa kasi kwa wagombea kunadi sera katika kampeni zilizoanza tokea jumapili tarehe 12 Juni,baada ya kutangazwa majina ya wagombea waliopitishwa tume ya uchaguzi ya chuo kikuu.
Wagombea waliopitishwa kwa upande wa urais ni Shukuru Mlwafu,Saimon Kilawa na Richard Damas,na kwa nafasi ya makamu wa rais ni Angelista Noshan na Gift Msowoya
![]() |
| Picha za wagombea katika moja ya kuta maeneo ya SJMC. |
Mchakato huo ni mzito hivyo ni ngumu sana kutabiri mshindi ni nani kwani wagombea wote wameonekana kuugwa mkono kwa kiasi kikubwa. “Mchuano ni mkali sana hivyo ni ngumu kusema nani atakuwa Rais wetu,kazi hiyo tumeuwashia umma wa UDSM” anasema Mwanaharati mkongwe Rich.
Kama ilivyo kawaida ya siasa hali ya kuchafuana imekuwa ikijitokeza kwani baadhi ya wagombea wamekuwa wakishutumiwa kuwa makada wa CCM ingawa haijathibitishwa.Kwa upande wengine kivutio kikubwa kimejitokeza kwa upande wa nafasi ya makamu wa rais kwani wagombea wote wanamvuto wa sura hivyo watu wamekuwa wakihoji kama mvuto ni moja ya kigezo kilichotumika kuwapitisha katika mchujo uliofanyika.
![]() |
| Hawa wagombea wa nafasi ya makamu wa rais na sio washiriki wa urembo kama wanavyodhaniwa |
![]() |
| Mfuasi wa Bw Mlwafu Shukuru akiwa amebeba bango la kumnadi. |
U.S DIVER ON A MISSION TO RETRIEVE OSAMA'S BODY!!
Bill Warren, 59, an eccentric California-based diver has announced a rather ambitious plan to conduct an underwater mission to recover the body of Osama Bin Laden.Warren, who has successfully discovered some 150 shipwrecks, says he'll spend at least two weeks scouring the floor of the North Arabian Sea for bin Laden's body, at a cost of $11,000 a day.
Since President Obama won't release photos of bin Laden's corpse, Warren says, he's taking it upon himself to photograph the body and get DNA samples to share with the world.Warren is currently gathering resources to scour the North Arabian sea bed which has an estimated surface area of four million square kilometers.
Warren was reported as saying that he wants to find proof that the Al-Qaeda leader is dead, and that he was really buried at sea from the USS Carl Vinson warship. "I'm doing it because I am a patriotic American who wants to know the truth. I do it for the world".

Even though the remains have been at the bottom of the sea since May 2, they would still be well preserved "in a sealed Navy burial bag, zipped up, white canvas, rubber-lined inside, 200 lbs. of lead weight," Warren says.
Since President Obama won't release photos of bin Laden's corpse, Warren says, he's taking it upon himself to photograph the body and get DNA samples to share with the world.Warren is currently gathering resources to scour the North Arabian sea bed which has an estimated surface area of four million square kilometers.
Warren was reported as saying that he wants to find proof that the Al-Qaeda leader is dead, and that he was really buried at sea from the USS Carl Vinson warship. "I'm doing it because I am a patriotic American who wants to know the truth. I do it for the world".
Even though the remains have been at the bottom of the sea since May 2, they would still be well preserved "in a sealed Navy burial bag, zipped up, white canvas, rubber-lined inside, 200 lbs. of lead weight," Warren says.
The Obama administration had earlier announced that Bin Laden was killed in a special assault operation carried out by the US Navy Seals at Abbottabad in Pakistan. US authorities later claimed that after the May 2 operation, Laden's body was buried at sea to avoid construction of a terrorist shrine.Bill Warren's announcement has come as a surprise, as many believe it is impossible to carry out such an extensive operation. Given the fact that no details of the coordinates of the corpse have been made public, many say that it will be a herculean task to locate the body.
Barring the DNA tests, Warren has also been ridiculed by many online forums for saying he hopes to take pictures and videos of the corpse once he finds it.Warren, who has been diving commercially since 1972, has embarked upon a few other famous expeditions also. He is credited to have discovered the remains of more than 200 ship wrecks under the sea and is known to be a treasure hunter.
In early 1999, Warren's company Golden Quest was involved in a dispute with a rival expedition team to find the coronation riches of King Charles 1 buried under the sea. He had earlier tried his luck on the Port Royal shipwreck in Bahamas as well.Warren had earlier tried his hand at exhuming the legendary 1705 San Francisco Xavier, although he got into a brawl with officials of the state of Oregon. Later, he accused the Oregon officials of calling him a 'grave robber', and seeing him as a pirate
Instead of hoping to come across any underwater treasures, this time Warren seems to have been driven by his Russian girlfriend, who mentioned to him that Russian Intelligence circles do not actually believe Osama is dead.
source: http://www.wavuti.com
BINADAMU LAKINI MWILI SUMAKU!!
Ile hali ya kuwepo kwa binadamu walio tofauti na wengine inaendelea kuongezeka,kwani huko Croatia kaskazini mtoto wa miaka 6 aitwae Ivan Stoiljikovic ambaye amekuwa na hali ya kunasa vitu vya chuma (usumaku) katika kiwiliwili chake.Mtoto huyo ambaye pia kimwili umbile lake halilingani na umri,hilo halimpi halimzuii kuvua chati na kuwaonyesha watu uwezo wake huo wa ajabu.
Babu aitwae Ivan Surlovic anasema,alinza kuonesha maajabu tokea akiwa mdogo kwani alianza kutembea akiwa na umri wa miezi nane,na kabla ya kufikisha miaka miwili alikuwa na uwezo wa kuendesha baiskeli,kitu ambacho kiliwashangaza.Babu yake anaendelea kusema, hali hiyo ya usumaku waligundua miezi michache iliyopita,wakati walipokuwa wakiangalia kipindi cha televisheni kilichokuwa kinamuonyesha kijana mwingine mwenye uwezo kama huo,nae Ivan ajijaribu kama utani, ghafla wakaona vitu vya chuma vinanasa pia kwake.
Familia yake inasema,hali hiyo huwa na nguvu zaidi nyakati za asubuhi akiwa ametulia,pia vyuma vizito hunanasa vizuri zaidi ya vile vyepesi.
![]() |
![]() |
| Nzito lakini hapa ndo imenasa. |
![]() |
| "Jamani ona mikono yangu ipo nyuma,sijaichika" |
MUANGALIE HUYU JAMAA!!
WEWE UNGEWEZA HII?
Kwa kawaida hapa Tanzania imezoeleka kwa wanyama hawathaminiwi ipasavyo.Kwa mfano pindi wanapoumwa maradhi au kupata tatizo la kuvunjika huwa wanaachwa bila msaada wowote.Kama ni mnyama anaelika basi huwa tunakimbilia kumchinja.
![]() |
Ulimwengu Jr & Princess washinda Mr & Miss UDSM 2011!!
Shindano la kuwatafuta Mr & Miss UDSM lilofanyika jana katika ukumbi wa Nkurumah,limemalizika kwa Jenerali Ulimwengu Jr kuchukua taji la Mr UDSM 2011 na kwa Miss UDSM mshindi ni Princess Chiaro.Washindi wengine ni Herieth Shija ambaye ni mshindi wa pili na na Anifa Issa ni watatu kwa upande wa mamiss.Mr UDSM na mbili ni Victor Hongoa na watatu ni Richius Kashonda.Katika mchuano huo mambo yalikuwa mazuri kwa upande wa Herieth Shija na Ulimwengu Junior kwani waliweza kunyakua tuzo za Miss & Mr Talents.Mshiriki mwingine aliyedhaniwa kuibuka kidedea ni Raheem Mkadara a.k.a Da Prince lakini upepo ulikuwa vibaya kwa upande wake na kuambulia kuingia Top five tu.!
Kwa habari na matukio yaliojiri siku hiyo bofya Photo Album page hapo juu.Picha na Hilal Ruhundwa
| Washindi wa Miss UDSM 2011 katika pozi la pamoja.Kushoto ni Herieth Shija mshindi wa 2,kulia ni Anifa Issa (3) na katikati ni Miss UDSM |
| Mr UDSM, Jenerali Ulimwengu Jr katika vazi la ubunifu. |
| Miss UDSM 2011 akivikwa taji. |
| Mr UDSM wakati wa kujibu maswali. |
TIBA JINGINE JAMANI!!
Azerbaijan ni moja ya nchi zinaongoza kwa uzalishaji na uuzaji mafuta dunia. Katika mji wake mkuu Baku, kumetokea hospitali inayojulikana kwa jina la Naftalan ambayo kwa miaka mingi sasa imekuwa ikitumia mafuta ghafi kama tiba ya magonjwa mbalimbali ya ngozi na mengine ya viungo na mifupa kama arthititis na rheumatism . Katika tiba hiyo mgonjwa hutakiwa kujiloweka katika sinki lenye gallon 35 za mafuta hayo na kukaa ndani yake kwa muda usiozidi dakika kumi.Wagonjwa wengi wamesema hujisikia vizur wakati wapo ndani ya mafuta hayo hivyo kutamani kukaa zaidi ya dakika hizo zinazopendekezwa na daktari. Meneja mkuu katika hospitali hiyo, Dr Alif Zulfugar amesema kuwa mgonjwa hatakiwi kuzidisha dakika pia haruhusiwi kutumia tiba hiyo zaidi ya mara moja kwa siku kwani inaweza kumletea madhara ambayo hakuyataja.Ameongeza kwa kusema tiba hiyo inatolewa kwa muda wa siku 10 tu.
![]() |
| Baadhi ya wagonjwa wakioga dawa hiyo |
![]() |
| Jamaa akifutwa mafuta hayo baada ya kujiloweka |
OSAMA AUWAWA.
Rais Barrack Obama amethibitisha taarifa za kifo cha Osama Bin Laden,kiongozi wa kundi la Al-Qaeda ambaye ameuliwa katika operesheneni iliyofanywa na majeshi ya Marekani jana jumapili huko Pakistan katika mji wa Abbottabad.Kufutia taarifa hizo Obama amehaidi kuimarisha ulinzi katika Balozi zao kwani ana wasiwasi wa kutokea mashambulizi.
![]() |
| Osama enzi za uhai wake akiwa na viongozi wengine wa Al- Qaeda |
![]() |
| Wamarekani wakishangilia taarifa za kifo cha Osama. |
MPAKA KIELEWEKE!!
"Kitafahamika tu!!" Hayo ni maneno ya Binti wa Kijerumani Regina Mayer, ambaye kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kuendesha farasi lakini haukweza kufanikiwa kwa wazazi wake hawakumwezesha kutimiza ndoto zake. Basi ndipo binti huyo wa miaka 15 alipoamua kumfundisha ng'ombe wake aitwae LUNA kuruka viunzi kama farasi.
MATOKEO KIDATO CHA SITA YAMETOKA.
Matokeo ya kidato cha 6 2011 yametoka,kwa habari zaidi bofya www.necta.go.tz/2011/alevel.htm
MACHAFUKO BAADA YA UCHAGUZI HUKO NIGERIA
Kumetokea machafuko ya kisiasa huko kaskazini mwa Nigeria baada ya kutangwaza matokeo ya uchaguzi uliofanyika Jumamosi, matokeo hayo yameonyesha Bw Goodluck Jonathan amemshinda mpinzani wake Bw Muhammadu Buhari. Vurugu hizo zimepeleka vifo vya watu sita na wengine kukimbia makazi yao. Taarifa zaidi zinaonyesha uwepo wa vifo vingi na hali kuwa mbaya zaidi.Machafuko yameshika kasi sana katika miji ya Kaduna na Kano.
Wananchi wakifanya vurugu huko Nigeria kaskazini
from aljazeera
NJIA ZA WAENDESHA BAISKELI
Huko London wenzetu wamepiga hatua kwa kuandaa njia maalum kwa waendesha baiskeli,njia hizo zimepakwa rangi ya blue.Njia hizo zimeanza kuwekwa huko West London,mikakati yao kufikia 2015 mji wote utakuwa na njia hizo.
Subscribe to:
Posts (Atom)

































