modreamz
keep on moving!!!
THE BEAUTY OF TANZANIA
Dah, sijui huyu fisi atawaweza hawa nyati?!
Cheki,bonde la mlima usambara....Pazuri eeh??
Sasa hawa ngo'mbe wamefuata nini beach?
Tanzania, OUR MAMA LAND imebarikiwa kwa vivutio vingi, lakini cha ajabu watanzania wengi hatuna mazoea ya kutembelea sehemu hizi....
UDSM hali si shwari..
Wanafunzi wa chuo kikuu Dar es Salaam wakiwa katika maandamano
.
Wote ni wanafunzi wa UDSM wakiwa katika maandamano ya amani kuelekea IKULU ili kuishinikiza serikali kuongeza fedha ya matumizi " BOOM" kutoka 5000 inayotolewa sasa hadi 10000.
Katuni hour
Maisha yanabadilika...angalia mastaa wetu enzi hizo kabla hawaujua mji!!!!
Wats up people lets enjoy together
Wats up people,this is a new blog and a very first step of bringing what YOU like, so I beg your support and assistant so as to make it happen
ONE LAV
Newer Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)